Mwanzo | | Habari na Harakati
Habari na Harakati
Maombolezo ya kifo cha Sheikh Muhammad jawad AL Mahdawiy
Maombolezo ya kifo cha Sheikh Muhammad jawad AL Mahdawiy Kwa masikitiko makubwa mno, chuo cha elimu na mafunzo ya dini mjini Najaf nchini Iraq, kimempoteza mwanazuoni kati ya wanazuoni wakubwa, mjuzi aliyekuwa mashuhuri kwa juhudi na elimu kubwa, ...
  06 Mar 2021 - 17:47   Soma 26   maelezo
HATUA ZA KIMATENDO KATIKA ARUBAINI YA FARAJA
Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu HATUA ZA KIMATENDO KATIKA ARUBAINI YA FARAJA        Marjii wa Dini, Samahat Sheikh Muhammad Yaqoobi (Allah amhifadhi) amesisitiza juu ya udharura wa kufanya kila jambo linaloweza kuingiza furaha katika ...
  25 Sep 2020 - 21:50   Soma 155   maelezo
UKUMBUSHO WA FUNGA YA SIKU YA KWANZA YA MWEZI WA MUHARAM KWA AJILI KUKUBALIWA DUA NA MAOMBI
Kwa jina la Mwenyezi  Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye kurehemu   UKUMBUSHO WA FUNGA YA SIKU YA KWANZA YA MWEZI WA MUHARAM KWA AJILI KUKUBALIWA DUA NA MAOMBI          Shekhe Swadooq amesimulia katika kitabu cha Al-Majaalis na Uyunul Al-Khbaar kwa ...
  21 Aug 2020 - 15:01   Soma 131   maelezo
MANENO MAFUPI YA ASHURAA
Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye kurehemu   MANENO MAFUPI YA ASHURAA   1.    Umri wenye kheri nyingi wa Imamu Hussein Bwana wa mashahidi (Amani iwe juu yake)        Hakika kuamiliana kwetu na siku moja ya maisha matukufu ya ...
  21 Aug 2020 - 15:00   Soma 234   maelezo
Ayatollah Yaqoobi: Kufanya Marasimu ya Imam Hussein (a.s) katika kipindi cha janga la Corona (Covid: 19)
Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye kurehemu   Ayatollah Yaqoobi: Kufanya Marasimu ya Imam Hussein (a.s) katika kipindi cha janga la Corona (Covid: 19)          Ni jambo lisilo na shaka ndani yake kwamba, kuomboleza na kufanya marasimu ...
  10 Aug 2020 - 11:43   Soma 131   maelezo
Ulinganisho kati ya Bi Fatimah Zahraa (Amani iwe juu yake) na Bi Maryam binti Imran
  Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu Ulinganisho kati ya Bi Fatimah Zahraa (Amani iwe juu yake) na Bi Maryam binti Imran*          Sisi wafuasi wa Ahlulbayt (a.s) tuna mahusiano maalumu na bi Maryam binti ...
  25 Jul 2020 - 13:35   Soma 164   maelezo
Umuhimu wa kulinda nidhamu ya kijamii na mchango wa mwanchuoni katika hilo
Umuhimu wa kulinda nidhamu ya kijamii na mchango wa mwanchuoni katika hilo Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mtukufu: Maulama wengi wamekuwa wakikariri sana anuani ya “...Kuhifadhi nidhamu ya kijamii..” huku wakitoa dalili kwa kutegemea baadhi ya hukumu ambazo ni ...
  10 Jul 2020 - 13:23   Soma 142   maelezo
Marjii Ayatollah Yaaqubi, ahimiza jamii kuharakia katika swala la kujitolea
Marjii Ayatollah Yaaqubi, ahimiza jamii kuharakia katika swala la kujitolea Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mtukufu: Marjii ayatollah Sheikh Muhammad Yaaqubiy amehimiza mno kuwepo kwa misingi ya kijamii ni kuwekeza zaidi katika kujitolea katika hali ambayo kutajitokeza upungufu kutoka ...
  09 Jul 2020 - 23:13   Soma 139   maelezo
“….Wasimamisheni, kwani hao ni wenye kuulizwa….”
 “….Wasimamisheni, kwani hao ni wenye kuulizwa….” (Surat Swaffat aya 24) Sifa na alama za Kiongozi (Mwenye kuulizwa) Imepokelewa kutoka kwa Mtume Muhammad (saww) akisema: “....Kila mmoja wenu ni kiongozi na mwenye kuulizwa juu ya raia wake, mtawala ambaye yupo juu wa ...
  09 Jul 2020 - 23:12   Soma 179   maelezo
Haifai wazazi kuchunguza vifaa vya watoto wao.
Haifai wazazi kuchunguza vifaa vya watoto wao.  Kwa mujibu wa Sheikh Muhammad Yaaqubiy ni kwamba haifai kwa wazazi na wenye mamlaka kuchunguza vifaa vya watoto wao kama vile simu, kompyuta mpakato na vifaa vingine vya kisasa kwa hoja ...
  09 Jul 2020 - 23:10   Soma 142   maelezo
1 2 3
total: 21 | displaying: 1 - 10