Mwanzo | | Habari na Harakati
Habari na Harakati
IMAM HUSSEINI (A.S) NI HARAKATI UFAHAMU (MWAMKO) MABORESHO
MARJII YAQOOBI: IMAM HUSSEINI (A.S) NI HARAKATI UFAHAMU (MWAMKO) MABORESHO   Kwa Jina la Allah   Imam Husseini ni Harakati ya Mwamko wa fikra na Maboresho (Islahi)           Tunatumia fursa ya kukaribia mwandamo wa mwezi mtukufu wa Muharam kusisitiza ujumbe huu kwa ...
  07 Aug 2021 - 09:06   Soma 565   maelezo
FATWA KUHUSU URAIBU WA MITANDAO YA KIJAMII:
FATWA KUHUSU URAIBU WA MITANDAO YA KIJAMII: KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU. SAMAHATU AL-MARJIU DINI SHEIKH MUHAMMAD AL-YAAQUB {MUNGU AMUHIFADHI}. AMANI, REHEMA NA BARAKA ZA MWENYEZI MUNGU ZIWE JUU YENU.   SWALI:             Tunapo angalia utafiti wa uraibu wa mitadhao ya kijamii ...
  16 Apr 2021 - 09:58   Soma 536   maelezo
FATWA KUHUSU SHARTI LA CHANJO YA CORONA KWAAJILI YA KUTEKELEZA IBADA YA HIJA
FATWA KUHUSU SHARTI LA CHANJO YA CORONA KWAAJILI YA KUTEKELEZA IBADA YA HIJA KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU. AMANI, REHEMA NA BARAKA ZA MWENYEZI MUNGU ZIWE JUU YENU.         Kulingana na maamuzi ya hivi karibuni, kila mwenye kutaka kutekeleza ibada ...
  16 Apr 2021 - 09:56   Soma 652   maelezo
Maombolezo ya kifo cha Sheikh Muhammad jawad AL Mahdawiy
Maombolezo ya kifo cha Sheikh Muhammad jawad AL Mahdawiy Kwa masikitiko makubwa mno, chuo cha elimu na mafunzo ya dini mjini Najaf nchini Iraq, kimempoteza mwanazuoni kati ya wanazuoni wakubwa, mjuzi aliyekuwa mashuhuri kwa juhudi na elimu kubwa, ...
  06 Mar 2021 - 14:47   Soma 703   maelezo
HATUA ZA KIMATENDO KATIKA ARUBAINI YA FARAJA
Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu HATUA ZA KIMATENDO KATIKA ARUBAINI YA FARAJA        Marjii wa Dini, Samahat Sheikh Muhammad Yaqoobi (Allah amhifadhi) amesisitiza juu ya udharura wa kufanya kila jambo linaloweza kuingiza furaha katika ...
  25 Sep 2020 - 18:50   Soma 933   maelezo
UKUMBUSHO WA FUNGA YA SIKU YA KWANZA YA MWEZI WA MUHARAM KWA AJILI KUKUBALIWA DUA NA MAOMBI
Kwa jina la Mwenyezi  Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye kurehemu   UKUMBUSHO WA FUNGA YA SIKU YA KWANZA YA MWEZI WA MUHARAM KWA AJILI KUKUBALIWA DUA NA MAOMBI          Shekhe Swadooq amesimulia katika kitabu cha Al-Majaalis na Uyunul Al-Khbaar kwa ...
  21 Aug 2020 - 12:01   Soma 648   maelezo
MANENO MAFUPI YA ASHURAA
Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye kurehemu   MANENO MAFUPI YA ASHURAA   1.    Umri wenye kheri nyingi wa Imamu Hussein Bwana wa mashahidi (Amani iwe juu yake)        Hakika kuamiliana kwetu na siku moja ya maisha matukufu ya ...
  21 Aug 2020 - 12:00   Soma 743   maelezo
Ayatollah Yaqoobi: Kufanya Marasimu ya Imam Hussein (a.s) katika kipindi cha janga la Corona (Covid: 19)
Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye kurehemu   Ayatollah Yaqoobi: Kufanya Marasimu ya Imam Hussein (a.s) katika kipindi cha janga la Corona (Covid: 19)          Ni jambo lisilo na shaka ndani yake kwamba, kuomboleza na kufanya marasimu ...
  10 Aug 2020 - 08:43   Soma 511   maelezo
Ulinganisho kati ya Bi Fatimah Zahraa (Amani iwe juu yake) na Bi Maryam binti Imran
  Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu Ulinganisho kati ya Bi Fatimah Zahraa (Amani iwe juu yake) na Bi Maryam binti Imran*          Sisi wafuasi wa Ahlulbayt (a.s) tuna mahusiano maalumu na bi Maryam binti ...
  25 Jul 2020 - 10:35   Soma 653   maelezo
Umuhimu wa kulinda nidhamu ya kijamii na mchango wa mwanchuoni katika hilo
Umuhimu wa kulinda nidhamu ya kijamii na mchango wa mwanchuoni katika hilo Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mtukufu: Maulama wengi wamekuwa wakikariri sana anuani ya “...Kuhifadhi nidhamu ya kijamii..” huku wakitoa dalili kwa kutegemea baadhi ya hukumu ambazo ni ...
  10 Jul 2020 - 10:23   Soma 616   maelezo
1 2 3
total: 24 | displaying: 1 - 10