Kwa Jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu
Kumuomba Msaada Mwenyezi Mungu Katika Usiku wa Nusu ya Mwezi wa Shabani
Leo hii tumo ndani ya Mwezi wa Shabani uliosheheni kheri nyingi kwa waumini. Na sasa ...
Arobaini ya faraja
Imepokelewa kutoka kwa Imamu Sadiq (as) amesema
“........Baada ya kuwa mateso yameshamili kwa wana wa Israel, waliamua kupiga mayowe na kumlilia Mwenyezi Mungu kwa siku 40, hivyo Mwenyezi Mungu akatuma ujumbe kwa Nabii Mussa na Haruna ...
Dumisheni swala la kupenda nchi yenu katika nyoyo na akili zenu
Ayatollah Sheikh Mohammad Yaaqubiy katika mkutano wake na kundi la wanafunzi na vijana amesema:
Lazima tuwe makini sana na kila aina ya majaribio yenye kulenga kutuondolea hali ya ...
Ayatollah Yaaqubiy ahimiza waumini kumzuru Imamu Ally (as) katika siku ya Ghadeer
Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na mwenye kurehemu
Kwa mnasaba wa siku ya Ghadeer, tunapenda kuwahimiza waumini wote katika jambo la kumzuru Imamu Ally ...