Mwanzo | | MALALAMIKO YA QUR’ANI TUKUFU
MALALAMIKO YA QUR’ANI TUKUFU
Kitabu Kilicho Barikiwa
Kitabu Kilicho Barikiwa Yaani Qur’ani ina baraka tele. Na hivyo ndivyo ulivyo ukweli, na baraka zake zinaweza kuelezewa katika pande kadhaa: 1.       Qur’ani ina baraka kwa upande wa chanzo chake na pahali iliko tokea. Kwa sababu aliye iteremsha ...
  21 Jul 2020 - 20:02   Soma 440   maelezo
UFAFANUZI WA BAADHI YA SIFA ZA QUR’ANI
UFAFANUZI WA BAADHI YA SIFA ZA QUR’ANI       Lakini  maelezo hayo kuhusu sifa za Qur’ani hayatoshezi. Hivyo, ninaona kuna udharura wa kuzitolea ufafanuzi wa ziada baadhi ya sifa hizo, ufafanuzi utakao kuwa na athari chanya kijamii na kimaadili, ...
  21 Jul 2020 - 20:02   Soma 500   maelezo
QUR’ANI YAJISIFU YENYEWE
QUR’ANI YAJISIFU YENYEWE Ama jambo muhimu zaidi kuliko hayo ni kukusomeeni baadhi ya aya ambazo Qur’ani tukufu yajisifu kwazo ili tuitambue, kwani bila shaka yenyewe inajijua zaidi, na iweje isijijue wakati ni maneno ya mbora wa wasemaji? Kutokana ...
  21 Jul 2020 - 20:01   Soma 484   maelezo
SABABU ZA KUIPA UMUHIMU QUR’ANI
SABABU ZA KUIPA UMUHIMU QUR’ANI          Hakika sababu nyingi zinatusukuma kuipa Qur’ani umuhimu zimedhihiri. Hapa, Mwenyezi Mungu akipenda nitajaribu kuziorodhesha, pamoja na kuongeza nukta mpya tofauti na ulizo zisikia katika aya za Qur’ani na hadithi kama ifuatavyo:   1.       ...
  21 Jul 2020 - 20:01   Soma 462   maelezo
MTUME (s.a.w.w) NA AHLUL-BAYT (a.s) KUIPA UMUHIMU QUR’ANI
MTUME (s.a.w.w) NA AHLUL-BAYT (a.s) KUIPA UMUHIMU QUR’ANI           Hakika umuhimu utolewao na Ahlul-bayt kwa Qur’ani ni wa hali ya juu sana, kiasi kwamba imefikia hadi Imamu Sajadi (a.s) anasema: (لو مات من بين المشرق والمغرب لما استوحشت ...
  21 Jul 2020 - 20:01   Soma 432   maelezo
TUNA HAJA YA KUREJESHA QURANI KWENYE MAISHA YETU
TUNA HAJA YA KUREJESHA QURANI KWENYE MAISHA YETU        Leo hii tuna haja kubwa sana ya kurejesha ustawi ya Qur’ani kwenye maisha ya waislamu na kuitoa kwenye kutengwa, kiasi kwamba imefikia hatua uwepo wa Qur’ani umekuwa unaishia kwenye ...
  21 Jul 2020 - 20:00   Soma 457   maelezo
QUR’ANI NI NJIA IKUFIKISHAYO KWENYE KUMTAMBUA MWENYEZI MUNGU
QUR’ANI NI NJIA IKUFIKISHAYO KWENYE KUMTAMBUA MWENYEZI MUNGU          Yeyote yule amtakae Mwenyezi Mungu, na akawa anahitaji kufika kwake, ni wajibu wake ashikamane na Qur’ani, kwani jambo la kwanza katika dini ni kumtambua yeye. Imepokelewa kutoka kwa Imamu ...
  21 Jul 2020 - 20:00   Soma 486   maelezo
WASIA WA KUHIFADHI QUR’ANI
WASIA WA KUHIFADHI QUR’ANI      Yasiwaghuri madai ya wasemao kwamba, wao ndio wenye kuijali zaidi Qur’ani kuliko sisi[1]. Ninasema: hifadhini Qur’ani kwani ina hadhi ya kuhifadhiwa na kufanyiwa kazi. Kuweni kama alivyo kuusieni Amiirul muunina Ali bin Abi ...
  21 Jul 2020 - 20:00   Soma 511   maelezo
KUWAACHA AHLUL-BAYT (A.S) NI KUTOSHIKAMANA NA QUR’ANI
KUWAACHA AHLUL-BAYT (A.S) NI KUTOSHIKAMANA NA QUR’ANI        Kwa bahati mbaya umma wa kiislamu ulikiacha kitabu cha Mwenyezi Mungu na ukajitenga nacho mbali pale ulipowaengua Ahlul-bayt kwenye nafasi yao ambayo Mwenyezi Mungu aliwachagulia, kwa kuwa ni jambo lisilowezekana ...
  21 Jul 2020 - 19:59   Soma 610   maelezo
KUJIWEKA MBALI NA QUR’ANI NDIO SABABU YA KUFELI WAISLAMU
KUJIWEKA MBALI NA QUR’ANI NDIO SABABU YA KUFELI WAISLAMU        Uchaguzi wa hadithi izungumzayo kunako malalamiko haya haukufanyika bila sababu au kwa fikra za kianasa, bali umetokana na  ufahamu na muono wa mbali katika kuuchambua uhalisia wa waislamu ...
  21 Jul 2020 - 19:59   Soma 504   maelezo
1 2 3 4
total: 35 | displaying: 21 - 30