SIFA ZA JAMII YA KIJAHILIA KWA MUJIBU WA QUR’ANI
Sifa ya kwanza miongoni mwa sifa za kijahilia ni kuwaabudu watu badala ya Mwenyezi Mungu aliye tukuka. Na ibada maana yake ni kutii na kutawalisha kama ilivyo pokelewa ...
UJAHILIA WA KILEO
Wanadamu leo hii wanauishi ujahilia mpya -hata kama baadhi yao watajiiata waislamu- kwa mujibu wa maana ya ujahilia inayo tolewa na Qur’ani. Kwa sababu Qur’ani haiuhesabu ujahilia kuwa ni kipindi maalumu kilicho malizika kwa ...
MAJUKUMU YA VYUO VYA DINI KATIKA KUIRESHA QUR’ANI MAISHANI
Ninaamini kuwa kundi la kwanza kabisa katika jamii lenye majukumu hayo ni hauza tukufu (vyuo vya kidini), wanafunzi wake, na wasomi wake na wakhatibu wake, kwa sababu kusalika ...
UDHARURA WA KURUDI KWENYE QUR’ANI
Sidhani kama baada ya ufafanuzi huo tutakuwa na haja ya kuendelea kutaja sababu za ziada zinazo tusukuma kurudi kwenye Qur’ani na kuishi katika himaya yake. Kwani sidhani kama yupo ambaye hajatambua hasara ...
MAISHA KATIKA HIMAYA YA QUR’ANI
Kwa hakika nimeyapitia maisha nikiwa katika himaya ya Qur’ani na kiashi katika ulinzi wake kwa miaka kadhaa. Ujanani mwangu nilikuwa nikihitimisha Qur’ani mara ishirini mpaka mara ishini na moja kwa mwaka. Mpaka ...
Qur’ani Ni Mawaidha, Tiba, Uongofu Na Rehema
Hapa nitafupisha maneno aliyo yataja Sayyed Tabatabai katika tafsiri ya aya ya 138 katika surat Al-Imran[1]:
Raghibu anasema katika kitabu chake cha Al-Mufradat: “Neno alwa’dh, maana yake ni kukemea kunako ...
Qur’ani Ni Kauli Nzito
Uzito ambao unabebwa na kauli au neno. Na Qur’ani ni nzito kwenye nafsi, kwa sababu huyazuwia matakwa ya nafsi na haiiachi uhuru, bali huiadabisha, huijenga na kuongoza. Qur’ani ni nzito kenye akili kutokana ...
Mwangalizi (Qayyim)
Sifa hii inatokana na neno: “alqaymumah” lenye maana ya uangalizi. Hivyo, Qur’ani ni kitabu kinacho wasimamia waja wa Mwenyezi Mungu, ili kuwaongoza na kuwaonyesha masilahi na heri yao, ikiwa ni pamoja na kuwandaliwa kila aina ...
Kitabu Kitukufu (Almajiid)
Raghibu anasema katika kitabu chake cha Al-Mufradat: Neno: “Almajdu”: ni upana katika ukarimu na utukufu. Na asili ya neno hilo ni kauli ya warabu: “majadat al-ibilu”, pale ngamia anapokutwa kwenye malisho yenye nyasi nyingi ...
Kitabu Chenye Nguvu (Al-A’ziz)
1. Kwa maana kwamba Qur’ani ni kitabu ambacho ni vigumu kufikia uhakika wake. Kwani kitabu ambacho uhakika wake umehifadhiwa kwenye lohi mahfudhi, na matamshi yake chombo tu cha kuziweka maana zake karibu na akili ...