Mwanzo | | MALALAMIKO YA QUR’ANI TUKUFU
MALALAMIKO YA QUR’ANI TUKUFU
MALALAMIKO YA QUR’ANI
MALALAMIKO YA QUR’ANI Nimekusudia nianze kwa kusoma hadithi ilinukuliwa katika kitabu cha Al-kafi na Al-khiswar kutoka kwa Abu Abdillah (a.s) alisema: (ثلاثة يشكون إلى الله عز وجل مسجد خراب لا يصلي فيه أهله وعالم بين جهّال ومصحف معلّق قد ...
  21 Jul 2020 - 19:58   Soma 515   maelezo
UFUNGUZI
UFUNGUZI Watu wamezoea kufungua vikao, mikutano, makongamano, na vipindi vya redio na televisheni kwa kusoma aya za Qur’ani tukufu lengo likiwa ni kutaka baraka na kuzitukuza aya hizo. Ada hii imekuwa ikifanywa hata nawasio kuwa waislam, jambo linaloonyesha ...
  21 Jul 2020 - 19:58   Soma 468   maelezo
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU Kila sifa jema ni za Mwenyezi Mungu na yeye ndie msitahiki wa sifa hizo, na sala za Mwenyezi Mungu na amani kemukemu zimuendee mjumbe wake Muhammad (s.a.w.w) na ...
  21 Jul 2020 - 19:58   Soma 478   maelezo
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU “Na siku zitapo funguka mbingu kwa mawingu, na wateremshwe malaika kwa wingi, ufalme wa haki siku hiyo utakuwa wa Arrahman, Mwingi wa rehema, na itakuwa siku ngumu kwa ...
  21 Jul 2020 - 19:57   Soma 531   maelezo
MALALAMIKO YA QUR’ANI TUKUFU
MALALAMIKO YA QUR’ANI TUKUFU        Huu ni mfululizo wa mihadhara aliyo itoa Ayatollah, sheikh Muhammad Yaqoobi (Allah amhifadhi) kwa wanafunzi wa vyuo vya kidini (hawzatul ilmiyah) katika mji wa Najaf, kwa mnasaba wa kuingia mwaka mpya wa masomo ...
  21 Jul 2020 - 19:57   Soma 440   maelezo
1 2 3 4
total: 35 | displaying: 31 - 35