MALALAMIKO YA QUR’ANI TUKUFU
21/07/2020 19:57:00 |
29/Dhul-Qadah/1441|times read : 460
MALALAMIKO YA QUR’ANI TUKUFU
Huu ni mfululizo wa mihadhara aliyo itoa Ayatollah, sheikh Muhammad Yaqoobi (Allah amhifadhi) kwa wanafunzi wa vyuo vya kidini (hawzatul ilmiyah) katika mji wa Najaf, kwa mnasaba wa kuingia mwaka mpya wa masomo ulioanza tarehe 19 mfungo nne 1422 Hijiria, sawa na 14/04/2001.