KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
21/07/2020 19:58:00 |
29/Dhul-Qadah/1441|times read : 503
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
Kila sifa jema ni za Mwenyezi Mungu na yeye ndie msitahiki wa sifa hizo, na sala za Mwenyezi Mungu na amani kemukemu zimuendee mjumbe wake Muhammad (s.a.w.w) na maimamu watakasifu watokanao na kizazi chake.
[رَبِّ اشْرَحْ لِي صَدْرِي، وَيَسِّرْ لِي أَمْرِي، وَاحْلُلْ عُقْدَةً مِّن لِّسَانِي، يَفْقَهُوا قَوْلِي]
(Ewe Mola wangu Mlezi! nikunjulie kifua changu, unirahisishie jambo langu, unifungulie fundo lililoko katika ulimi wangu, wapate kufahamu maneno yangu)[1]
[1] . Surat Taha: 25-28.