Umma wa Kusoma:
10/07/2020 10:21:00 |
18/Dhul-Qadah/1441|times read : 760
Umma wa Kusoma:
Ni haki yetu Sisi Umma wa Kiislamu kujifakharisha kwakuwa Sisi ni Umma Kusoma na kutafuta elimu, na kwamba neno la kwanza kuteremka kwa Mtume (s.a.w.w) pindi alipopewa ujumbe wa kiislamu lilikuwa ni (Soma), yaani amri ya kusoma, hali kadhalika kwamba muujiza wa kudumu wa Uislamu, yaani Qur’ani ni kitabu chenyekusomwa, ambacho kimetokana na neno ‘qiraatu, yaani: kusoma.