Hakika siasa...
10/07/2020 09:49:00 |
18/Dhul-Qadah/1441|times read : 530
Hakika siasa...
“..Hakika siasa ni mfano mzuri kabisa wa swala la kuamrisha mema na kukataza mabaya, kwa maana mwenye kuwepo huko anaweza kutumia nafasi yake kubadili mabaya na machafu mengi mno, pia anaweza kukidhi haja za waumini na kutatua matatizo yao na kuwapa haki zao pamoja na kuweka uadilifu kwa raia. Na haya yote ndio maana halisi ya jukumu hili kubwa kutoka kwa Mungu la kuamrisha mema na kukataza mabaya, kwa maana haliwezi kutimia kwa maana yake pana isipokuwa kwa kuchukua jukumu ka kusimamia raia...”