Kwa hakika jambo la Imamu Mahdi....
10/07/2020 09:30:00 |
18/Dhul-Qadah/1441|times read : 442
Kwa hakika jambo la Imamu Mahdi....
“...Kwa hakika kadhia ya Imamu Mahdi atfs ni kadhia ya Kiulimwengu, na inatakiwa walimwengu wote wakinaishwe kunako yeye, kwa maana huyu ni wao. Na ndio maana kunatakiwa kuwe na lugha nyingi zenye kumuelezea yeye kwa mujibu wa yule ambaye unamuhutubia, kwa maana kumkinaisha Shia juu yake ni tofauti na mazungumzo utakayotumia kumkinaisha asiyekuwa Shia, kama ambavyo ni tofauti kabisa na utakavyotaka kumkinaisha asiyekuwa Mwislamu kabisa.....”