Wenye kunifanyia uadui...
09/07/2020 21:54:00 |
18/Dhul-Qadah/1441|times read : 416
Wenye kunifanyia uadui...
“...Kwa hakika wenye kunifanyia uadui na kunikosea kamwe sitawafanyia ubaya, kwa maana vyovyote vile bado ni wana familia wa Kiislamu, na Uislamu una shida na wanafamilia wake wote. Hivyo vyovyote wafanyavyo kifua changu bado cheupe kwao, na hata wakitumia muda wao kunichafua na kunisema bado nitabakia ni mwenye kuwakumbatia daima...”.