Hukumu ya kuvaa soksi kwa mwanamke
09/07/2020 21:28:00 |
18/Dhul-Qadah/1441|times read : 788
Hukumu ya kuvaa soksi kwa mwanamke
Swali:
Je, mwanamke kuvaa soksi mbele ya ndugu wa mume ni katika hijabu ya kisheria, hasa ikiwa wanaishi katika nyumba moja?.
Jawabu:
Kwa jina la Mwenyezi Mungu.
Katika kufanya hivyo ni ihtiyat na tahadhari tu, ili kuweza kuhakikisha kwamba vile viungo zaidi ya vinavyotakiwa kuonekana, havionekani.
Ayatollah Sheikh Muhammad Yaaqobiy.