Hukumu ya samaki wasiokuwa na magamba
09/07/2020 21:23:00 |
18/Dhul-Qadah/1441|times read : 558
Hukumu ya samaki wasiokuwa na magamba
Swali:
Je, mnaweza kutupatia sababu ya kuharamisha ulaji wa samaki wasio na magamba?.
Jawabu:
Kwa jina la Mwenyezi Mungu
Tuna dalili sahihi zenye kuharamisha samaki wasio na magamba, ama ukitaka kuhoji kwanini ni kwamba Mwenyezi Mungu amesema “...Haulizwi kwa afanyayo na wao ni wenye kuulizwa...” Surat Anbiya aya 23.
Ayatollah Mohammad Yaaqubiy