Hukumu ya uchafuzi wa mazingira.
09/07/2020 21:21:00 |
18/Dhul-Qadah/1441|times read : 335
Hukumu ya uchafuzi wa mazingira.
Swali:
Ni ipi hukumu ya uchafuzi wa mazingira, hasa uchafuzi ambao unapeleka madhara makubwa katika jamii kama vile swala la kupanda kwa joto, au kuchafua kabisa anga ambayo yatapelekea kuangamia watu wengi katika miji?.
Jawabu:
Kwa jina la Mwenyezi Mungu
Ni haramu na haifai kabisa kufanya jambo lolote ambalo litapelekea mubashara madhara au maslahi ya watu.
Ayaotollah Mohammad Yaaqubiy