Hukumu ya kumvutia taswira mwanamke ambaye si halali kwako.
09/07/2020 21:15:00 |
18/Dhul-Qadah/1441|times read : 413
Hukumu ya kumvutia taswira mwanamke ambaye si halali kwako.
Swali:
Ni ii hukumu ya mtu kumvutia picha na taswira mwanamke ajnabi (ambaye si halali kwake)?.
Jawabu:
Kwa jina la Mwenyezi Mungu
Kwanza kabisa swala la fikra si katika uwezo wa binadamu, lakini cha muhimu ni kwamba fikra na hizo taswira zisipelekee kuangukia katika mambo ya haramu. Hali kadhalika ni wajibu kuweza kujitahidi kwa kadri yako kuweza kuacha kufikiria, na jitihada i jambo lenye kuwezekana.
Ayaotollah Mohammad Yaaqubiy