Kufanya kazi na wenye kutozingatia dini.

| |times read : 353
  • Post on Facebook
  • Share on WhatsApp
  • Share on Telegram
  • Twitter
  • Tumblr
  • Share on Pinterest
  • Share on Instagram
  • pdf
  • Print version
  • save

Kufanya kazi na wenye kutozingatia dini.

Swali:

    Kutokana na uhaba wa ajira, nimejikuta katika sehemu ambayo nafanya kazi ya mgahawa, lakini mmiliki wake ni mtu ambaye hana tabia nzuri, nami nimejitahidi sana kumpa nasaha lakini mwisho wa siku anarejea katika kawaida yake. Je, kufanya kazi na mtu kama huyu inafaa?.

 

Jawabu:

       Kwa jina la Mwenyezi Mungu

Hakuna kizuizi katika kufanya naye kazi, na usiache kumpa nasaha na mawaidha ili aweze kuzinduka na kukumbuka. Dua zangu zipo pamoja nawe.

                                                        Ayaotollah Mohammad Yaaqubiy