Hukumu ya daktari wa Meno
04/07/2020 19:30:00 |
12/Dhul-Qadah/1441|times read : 386
Hukumu ya daktari wa Meno
Swali:
Mtu ametoka kutibu jino lake na ameambiwa na Daktari kwamba asile na anywe vimiminika tu, jambo ambalo linamfanya kuwa dhaifu na kushindwa kufunga, sasa je, anaweza kuachia funga?.
Jawabu:
Kwa jina la Mwenyezi Mungu
Ikiwa kufunga kwake kutamuweka katika madhara basi anaruhusiwa kufungua, ila baadae atazilipa.
Ayatollah Sheikh Muhammad Yaaqobiy