Mwanzo | | Maneno ya maadili | Dini iliyo na Mwenyezi Mungu ni Uislamu
Dini iliyo na Mwenyezi Mungu ni Uislamu

Shiriki swali

Sababu za kutofautiana...

“...Moja ya njia bora kabisa za kujiepusha na kutofautiana ni kujiepusha na sababu zake, ambapo sababu kuu kabisa ni hali ya kujinasibisha na upande na kukataa upande mwingine, kupelekea hata kukataa na kupinga kabisa fikra na itikadi za upande usiokuwa wako. Hivyo ni wajibu kwetu kuheshimu fikra na pande nyinginezo hasa ndugu zetu katika dini na madhehebu, tutambue kwamba hizi tofauti zilizopo baina yetu ni kutokana tu na taratibu za watu wa pande ile katika kufikia lengo moja, na kama tutataka kuwakinaisha wengine basi iwe ni kwa mazungumzo mazuri na dalili, na wala si kwa ukali na kulazimishana...”.

1 2 3
total: 21 | displaying: 21 - 21

Ofisi ya al-Marjii Wadini

Khekhe Muhammad Yaqoobi (Allah amhifadhi) - Tuma swali lako-

Najaf Ashraf