Naomba sana nisikutane na….
10/07/2020 10:15:00 |
18/Dhul-Qadah/1441|times read : 476
Naomba sana nisikutane na….
“...Naomba sana nisikutane na kijana wa Kiislamu ambaye anaweka nywele zake kama mwigizaji wa filamu ya Titanic. Au binti wa Kiislamu hana hijabu, au hata kama anayo basi ni kama vile wanawake wa Kifaransa au Kimarekani .
Au unakutana na mwingine mwenye kuvaa cheni tena hata msalaba wakati mwingine, au kuweka bangili katika mikono yake huku akiongea kama binti na hakuna ishara yeyote ya kuonyesha kama ni mvulana...”