Kwa jina la Allah
Tamko la Mwisho la Ziara ya Arobaini kwa mwaka 1443Hijiria
[Alhamdulillah! Kuhimidiwa ni kwa Mwenyezi Mungu, ambaye aliye tuongoza kufikia haya. Wala hatukuwa wenye kuongoka wenyewe ingeli kuwa Mwenyezi Mungu hakutuongoza. Hakika Mitume wa Mola ...