HADITHI ARUBAINI KATIKA FADHILA YA QUR’ANI NA ATHARI NA DESTURI ZA KUISOMA
Na nitatosheka hapa na kutaja nasi (mapokezi) za hadithi sambamba na kuweka anuani inayohusiana na maudhui husika. Na pia kubainisha hadithi kwa mujibu wa malengo ...
BAADHI YA DESTURI NA SUNA ZINAZOHUSIANA NA USOMAJI WA QUR’ANI
Ninapenda hapa nitaje baadhi ya desturi, mienendo na suna zinazohusiana na usomaji wa Qur’ani kwa kutegemea riwaya tukufu:
1-Ni suna kuhitimisha Qur’ani mara moja kwa kila mwezi na ...
JUKUMU LA HAUZA KATIKA KUENDESHA HARAKATI ZA QUR’ANI
Na mimi hapa nitataja hadithi moja tu ambayo inabainisha majukumu ya hauza tukufu katika kuiamsha jamii, kuiongoza na kuirekebisha.
Imepokelewa kutoka kwa Mtume Muhammad (saw); ‘alihutubia akamuhimidi Mwenyezi ...
FIQIHI NA FAQIHI KATIKA MSAMIATI WA QUR’ANI
Huko nyuma tumezungumzia maana ya Ujahilia katika msamiati wa Qur’ani, tukaelezea sifa za jamii ya kijahilia na njia mbadala za Mungu zilizotolewa na Qur’ani. Na huu ulikuwa ni kama mfano wa ...
NI VIPI TUTARUDI KUIHUISHA NAFASI YA QUR’ANI?
Nirudi kwenye swali nililouliza kwamba ni vipi tutaweza kuirudisha Qur’ani kwenye maisha na na vipi tunaweza kufaidika nayo? Hakika makundi mawili ndio wanaobeba jukumu hilo: kundi la kwanza ni jamii, na ...
FAIDA YA VISA KUJIKARIRI NDANI YA QUR’ANI
Ni kurudia na kuendeleza dozi ya matibabu na kutokutosheka na dozi moja pindi unaposimamia usahihishaji wa hali mbaya au kuziba mapungufu au kutatua tatizo liliopo katika fikra ya jamii au katika ...
UTAWALA GHASIBU WA KIZAYUNI NI ATHARI YA UGONJWA, BASI NYINYI TIBUNI ASILI UGONJWA
Waislamu wanapolipa umuhimu suala la utawala ghasibu wa Kizayuni na wakafanya juhudi za kuuondoa, ni lazima watambue kuwa utawala huu si chochote ila ni ...
MIONGONI MWA UFAHAMU WA KUPAMBANA NA MAKAFIRI NA MASHETANI
Ufahamu huu umekusanya nyanja zote za maisha. Basi ni fikra zipi zilizotolewa na Qur’ani, ambazo tunaweza kuzitambua kuwa ni uelewa wa kupambana na makafiri? Mwenywzi Mungu anasema:
[وَلاَ تَهِنُواْ فِي ...
MASOMO TUJIFUNZAYO KUTOKANA NA NAMNA QUR’ANI INAVYOJENGA JAMII
Hapa inatubidi kuashiria baadhi ya masomo tunayoweza kujifunza kutokana na namna Qur’ani inavyojenga na kuongoza jamii:
1. Umakinifu katika kutambua sababu na chanzo kuliko kujua athari wakati kutoa utatuzi wa ...
QUR’ANI NI TIBA YA MARADHI YETU YAKIJAMII
Sasa umefika wakati tutumie nguvu na juhudi zetu katika kufaidika na uwezo wa Qur’ani wa kuyatibu maradhi ya kibinadamu na tunufaike na nguvu ya Qur’ani kwenye kuufikisha ubinadamu kwenye kilele ...